Wiwachu
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 809
- 924
Okay thanks so much
Bootloader kama jina lake lilivyo yenyewe inahusika na software wakati unapowasha simu, ikiwa locked ina maana software toka kwa mtengeneza simu tu ndio itatumika ila ikiwa unlocked utaweza tumia software (custom rom) mbalimbali toka kwa developers wengine tofauti na mtengeneza simu.
Kama huna matumizi yanayotaka bootloader iwe unlocked iache tu usii unlock.