Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
nitajie majina ya simu hizo tafadhali mkuuMkuu tecno si rafiki wa simu zinazopata updates, official ni ngumu kuzipata hizo updates na hata un official hakuna community ya kutosha kuzi mod.
Kama unataka ku enjoy hayo mambo zipo simu rafiki hasa zinazokuja na unlocked bootloader
basi umejiona una akili mwenyeweFuture's = ❌
Features = ✔
Samsung flagship zao zote bootloader ipo unlocked ila jiepushe na samsung ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya mitandao ya marekani/china/korea hizi huwa ni pasua kichwa.nitajie majina ya simu hizo tafadhali mkuu
shukrani mkuu kuna jamaa aliniambia Kama wewe hivi hivi eti tecno ukifanikiwa kui update version inaanza matatizo Kama vile kujikata simu ikipigwa je ni kweli?Samsung flagship zao zote bootloader ipo unlocked ila jiepushe na samsung ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya mitandao ya marekani/china/korea hizi huwa ni pasua kichwa.
Oneplus pia zinakuwa na community kubwa na pia unaweza ku unlock bootlodear (sema inafuta kila kitu)
Simu za Google hizi pixel
Xiaomi za ulaya Kama Mi A3 na A series nyengine.
Motorola hizi G series
Sema Oneplus nairecomend zaidi sababu itakupa advantage nyengine kama Ram na storage kubwa, ambazo ni future proof.
Inategemea na hio update yenyewe mkuu, inaweza tokea hivyo ama isitokee. Hata hizo kampuni kubwa sometime wanaweza tuma updates zikaharibu vitu fulani kwenye simu. Sema baadae hutuma tena updates na kufix.shukrani mkuu kuna jamaa aliniambia Kama wewe hivi hivi eti tecno ukifanikiwa kui update version inaanza matatizo Kama vile kujikata simu ikipigwa je ni kweli?
asante je update yenyewe feature zake mara nyingi ni kama zipi? Interface je?Inategemea na hio update yenyewe mkuu, inaweza tokea hivyo ama isitokee. Hata hizo kampuni kubwa sometime wanaweza tuma updates zikaharibu vitu fulani kwenye simu. Sema baadae hutuma tena updates na kufix.
amesema haya matoleo ya mchina ni mizinguo tuu.. inaweza kukubali au ikazingua au unakuta update yenyewe ina feature chache tuu amna cha maanaChief-Mkwawa samahani kwa kusandia mada.
Nina simu ya ITEL31 nataka nifanye kuUPDATE SOFTWARE ili nipate matoleo mpya.
Je inawezekana?
Unaenda setting then software updates ama setting then about then software updates. Angalia kama kuna update mpya ya simu yako.Chief-Mkwawa samahani kwa kusandia mada.
Nina simu ya ITEL31 nataka nifanye kuUPDATE SOFTWARE ili nipate matoleo mpya.
Je inawezekana?
Kuna updates ndogo ndogo na update kubwa. Update kubwa ndio zinaweza kubadili hadi muonekano ila ndogo inafix tu vitu kama security na mambo mengine usiyoyaona kwa macho.asante je update yenyewe feature zake mara nyingi ni kama zipi? Interface je?
hiyo nova launcher ipo play store?Kuna updates ndogo ndogo na update kubwa. Update kubwa ndio zinaweza kubadili hadi muonekano ila ndogo inafix tu vitu kama security na mambo mengine usiyoyaona kwa macho.
Ila kama shida ni kubadili muonekano Nova launcher inakuwa na muonekano wa latest Android.
Samsung flagship zao zote bootloader ipo unlocked ila jiepushe na samsung ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya mitandao ya marekani/china/korea hizi huwa ni pasua kichwa.
Oneplus pia zinakuwa na community kubwa na pia unaweza ku unlock bootlodear (sema inafuta kila kitu)
Simu za Google hizi pixel
Xiaomi za ulaya Kama Mi A3 na A series nyengine.
Motorola hizi G series
Sema Oneplus nairecomend zaidi sababu itakupa advantage nyengine kama Ram na storage kubwa, ambazo ni future proof.
Flagship ni simu nzuri kushinda zote ya manufacture husika kwa huo muda.Wakuu hivi ukisema flagship unakuwa unamaanisha simu ya kuanzia sh ngap mpaka sh ngap maana mi nabaki njia panda je simu kuanzia 380k kuendelea nayo ni flaship ay ni kuanzia 400k, 500k au naombeni mnitoe ushamba leo
Ndiohiyo nova launcher ipo play store?
Flagship ni simu nzuri kushinda zote ya manufacture husika kwa huo muda.
Na ukiwa unachagua simu neno flagship halina maana saana bali unatakiwa uangalie uwezo wa simu.
Kwa makampuni makubwa kama samsung, Oneplus, Xiaomi, Oppo etc flagship zao zinakuwa na na specification za kisasa ila baadhi ya kampuni ndogo flagship zao zinakuwa na specs ndogo vile vile.
Flagship ya samsung kwa sasa ni galaxy s20 ambayo bei yake ni kuanzia dola 1000.Ok kwa.mfano kwa sasa Samsung wana simu ipi ya flagship
Bootloader kama jina lake lilivyo yenyewe inahusika na software wakati unapowasha simu, ikiwa locked ina maana software toka kwa mtengeneza simu tu ndio itatumika ila ikiwa unlocked utaweza tumia software (custom rom) mbalimbali toka kwa developers wengine tofauti na mtengeneza simu.Wakuu vp hapo nikiweka on hiyo bootloader simu itaweza kufunguliwa na baadhi ya vifungo hata kama cjaroot!? Je kutakuwa na tatizo lolote maana naona hapo wameniambia kuwa haitakuwa na ulinzi sasa cjui ni ulinzi upi wanauumanisha ambao haitakuwa nao naombeni mnijuze au ni iache tu hivo hivo nisiiweke onView attachment 1365358