Bootloader kama jina lake lilivyo yenyewe inahusika na software wakati unapowasha simu, ikiwa locked ina maana software toka kwa mtengeneza simu tu ndio itatumika ila ikiwa unlocked utaweza tumia software (custom rom) mbalimbali toka kwa developers wengine tofauti na mtengeneza simu.
Kama huna matumizi yanayotaka bootloader iwe unlocked iache tu usii unlock.
sawa mkuuamesema haya matoleo ya mchina ni mizinguo tuu.. inaweza kukubali au ikazingua au unakuta update yenyewe ina feature chache tuu amna cha maana
Vipi kuhusu izi LG G—series?Samsung flagship zao zote bootloader ipo unlocked ila jiepushe na samsung ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya mitandao ya marekani/china/korea hizi huwa ni pasua kichwa.
Oneplus pia zinakuwa na community kubwa na pia unaweza ku unlock bootlodear (sema inafuta kila kitu)
Simu za Google hizi pixel
Xiaomi za ulaya Kama Mi A3 na A series nyengine.
Motorola hizi G series
Sema Oneplus nairecomend zaidi sababu itakupa advantage nyengine kama Ram na storage kubwa, ambazo ni future proof.
Kama lg G ipi?Vipi kuhusu izi LG G—series?
Infinix nayo huwa ina update ila inachukua muda kidogo.
Infinx smart3plus
Sent using Jamii Forums mobile app
G3Kama lg G ipi?
Same rule kama Samsung international version ina support nzuri ila zilizo locked kwenye mitandao ya nchi mbalimbali zinakuwa ngumu kumod.