Je! Naweza kuanza na stage ipi NBAA?

mchorazombie

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
282
Reaction score
114
Habari zenu wanajamvi, mimi nimehitimu BCom Education mwaka huu ila ndoto yangu ni kuja kupata CPA, advance nimesoma ECA.

Je! naweza kuanza na stage ipi ?
 
habari zetu wanajamvi,mimi nimehitimu BComEducation mwaka huu ila ndoto yangu ni kuja kupata CPA, advance nimesoma ECA.
je naweza kuanza na stage ipi ?




Kama umesoma Bcom in a/c utaanza na mode ''E'' lakin km in mkt utaanza za chini kabisa
 
thnks mkuu so labda naweza nikaanza intermediate stage
ambayo ina module C na D?
 
Mkuu C na D nia mode za mtu aliyesoma diploma ya accounts km hukusoma accounts utakuwa nyuma sana tuu,, Kwanza niambie umesoma nn hiyo Bcom yako,, mkt,finance,, au accounts,,
 
Mkuu C na D nia mode za mtu aliyesoma diploma ya accounts km hukusoma accounts utakuwa nyuma sana tuu,, Kwanza niambie umesoma nn hiyo Bcom yako,, mkt,finance,, au accounts,,

Ni Bcom education ila zifuatazo ni course ambazo nimesoma:

financial accounting
financial reporting
cost account
corporate finance
econometrics
business mathematics and statistics
quantitative technique for decision
intermediate account
macro and micro economics
public finance and taxation
international finance
banking
managerial account
materials management
business law
enterpreneurship
principles of management
research methodology and managemnt consultancy
development studies
communication skills
education principles
philosophy of education
education measurent and evaluation
curriculum development
teaching curriculum specialized in commercial subjects
education psychology
accountng packages
managemnt information system
marketng
inventory control
government account nk.

ila course ambayo sijasoma ni auditing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…