Je, naweza kumuweka mtoto wangu wa miezi mitatu kama mwanahisa kwenye kampuni yangu?

Kisheria mkuu mmiiliki wa kampuni anatakiwa awe na umri wa miaka 18 na kuendelea pia awe na I'd ya nida km ni mtanzania km ni raia wa nchi nyingne awe na hati ya kusafiria
Kwa hali hyo km mtoto wako bdo hajafika umri wa 18 hana sifa ya kuwa shareholder
Ushauri wangu kwa maslahi ya ustawi wa company hakuna haja ya kumuweka mchumba wako km shareholder cha kufanya ni hiki
Chukua baadhi ya share ziwe zako mfno labda 40 shares zinazobaki ziache ktk company km umekosa mtu sahihi wa kumpa
Mana inawezekana ukapta muwekezaji mkakubaliana kumpa shares na kuendeleza company yenu
Penye mapungufu wataongeza wachangiaji wengine
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu nimepata hapa kidogo, naomba nikuulize kama hautojari. Ikitokea mumeanzisha kampuni afu share holder mmoja akazingua, na hataki kuuza share yake anataka mgawane kampuni pamoja na asset zake hii imekaaje?
Hawezi akaamua peke yake,mnapiga kura,labda kama ana share kubwa.kinachofanyika mnamlipa chake kulingana na thamani ya share zake kama hataki kuendelea na biashara wakati wengine wana nia.hii pia inategemea na mkataba wenu wa kuendesha company (article of association).
 
Kisheria mkuu mmiiliki wa kampuni anatakiwa awe na umri wa miaka 18 na kuendelea pia awe na I'd ya nida km ni mtanzania km ni raia wa nchi nyingne awe na hati ya kusafiria
Kwa hali hyo km mtoto wako bdo hajafika umri wa 18 hana sifa ya kuwa shareholder
Ushauri wangu kwa maslahi ya ustawi wa company hakuna haja ya kumuweka mchumba wako km shareholder cha kufanya ni hiki
Chukua baadhi ya share ziwe zako mfno labda 40 shares zinazobaki ziache ktk company km umekosa mtu sahihi wa kumpa
Mana inawezekana ukapta muwekezaji mkakubaliana kumpa shares na kuendeleza company yenu
Penye mapungufu wataongeza wachangiaji wengine
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sheria gani hiyo inakataza asiwe shareholder?
 
Hawezi akaamua peke yake,mnapiga kura,labda kama ana share kubwa.kinachofanyika mnamlipa chake kulingana na thamani ya share zake kama hataki kuendelea na biashara wakati wengine wana nia.hii pia inategemea na mkataba wenu wa kuendesha company (article of association).
Nimekupata vyema kiongozi, sasa hizi article of association munaziandaa kabla amujaanzisha kampuni kisha munapeleka kwa mwana sheria au zipo tu kisheria kwa kila kampuni?
Thanks in advance.
 
Zinatakiwa kwa kila company ni kama katiba ya company,zinawasilishwa kwa msajili BRELA .
 
Habarini wakuu,

Kuna idea ninayo sasa itanilazimu kuanzisha kampuni, nimepanga kwanza ntaiendesha kama kampuni ndogo na nafikiri ntaanza na kama waajiriwa wawili au watatu.

Ila sasa kuna kitu sijakipata vizur, kwenye memart nilitaka nimuweke mchumba wangu tuwe wawili kama shareholders ila sasa nikafikiria kumuongeza na mtoto wangu lakini yeye bado ni mdogo.

So kwa wale waliowahi kuregister kampuni, naweza nikamuweka hata mtoto wangu mana bado ni mdogo. Ama nibaki tu mimi na mchumba wangu?

Asanteni sana
ndio inawezekana...ata mimi nimefanya hivyo na ni LTD company
 
Uliwahi sikia tangu ukue, mtu anasema yule fulani umwonae alikuwa ndugu yake? 'alikuwa' kwa ndugu hutumika pale mmoja akifa. Wengi hudhani mke (sembuse mchumba?) ni ndugu, kumbe she is just your best friend who can turn into a knife to shorten your life.
 
Habarini wakuu,

Kuna idea ninayo sasa itanilazimu kuanzisha kampuni, nimepanga kwanza ntaiendesha kama kampuni ndogo na nafikiri ntaanza na kama waajiriwa wawili au watatu.

Ila sasa kuna kitu sijakipata vizur, kwenye memart nilitaka nimuweke mchumba wangu tuwe wawili kama shareholders ila sasa nikafikiria kumuongeza na mtoto wangu lakini yeye bado ni mdogo.

So kwa wale waliowahi kuregister kampuni, naweza nikamuweka hata mtoto wangu mana bado ni mdogo. Ama nibaki tu mimi na mchumba wangu?

Asanteni sana
Kwa nini kampui inakuwa na shareholders?Sharehoholders ni owners ndio suppliers wa capital Huyo mwanao na huyo mpenzio wanachangia capital?Kama hapana sioni umuhimu.Kama ni kwa ajili ya kujaza yale maboksi basi wape 1 share each kwa ajili ya kukujazia maboksi kisha zingine ziache kwa ajili ya mtu atakayeweka mtaji

Kuwa na maono ndugu
 
Mchumba!!??
Usijaribu mkuu angekuwa mke sawa.
Muweke mwanao.
Ukiona vipi mara elfu umuweke mzazi wako au nduguyo wa damu kuliko hicho unachotaka kukifanya.
Usijesema hatukukwambia lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
mchumba hasomeshwi! kumilikishwa kampuni, magari, majumba na fahari zote za dunia kwa mapenzi ya siku hizi hakumtoshi, siku ataingiwa na pepo la usaliti, dhamana yako haitakuwa amali mlizoandaa bali roho yako.

rejea tena MCHUMBA HASOMESHWI! hawakumaanisha kwamba atafeli bali matunda ya kulipiwa ada hayatamnufaisha msomeshaji.

bora (kama sheria inaruhusu) umweke mwanao maana huyo hata ukubwani atafaa kuiongoza kampuni.
 
Kisheria mkuu mmiiliki wa kampuni anatakiwa awe na umri wa miaka 18 na kuendelea pia awe na I'd ya nida km ni mtanzania km ni raia wa nchi nyingne awe na hati ya kusafiria
Kwa hali hyo km mtoto wako bdo hajafika umri wa 18 hana sifa ya kuwa shareholder

Ushauri wangu kwa maslahi ya ustawi wa company hakuna haja ya kumuweka mchumba wako km shareholder cha kufanya ni hiki
Chukua baadhi ya share ziwe zako mfno labda 40 shares zinazobaki ziache ktk company km umekosa mtu sahihi wa kumpa
Mana inawezekana ukapta muwekezaji mkakubaliana kumpa shares na kuendeleza company yenu
Penye mapungufu wataongeza wachangiaji wengine
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app

Upo sahihi
 
Umekariri vibaya,company mkizinguana si unatafuta mtu mwingine anunue share zake na biashara inaendelea kama kawa.
Naantombe Mushi inawezekana ila hataweza kuingia mikataba itabidi awe na msimamizi.
Unaona kama hajakuambia kitu cha msingi sana, unachukulia rahisi sana kugawana share za kampuni na kumpata mmiliki mpya wa kampuni, hufikirii kugawana mpaka samani za ofisi,
Bro mtoto haruhusiwi kuwa shareholder wa kampuni nafikiri kuanzia 18+

Naona ana mawazo hasi kufanya biashara na mchumba,wakati makampuni mengi makubwa ni ya kifamilia.Kwenye companies act hakuna kifungu kinachoelezea umri wa shareholders kwa hiyo under 18 anahaki ya kuwa shareholder ila tukija kwenye law of contracts (contract act) minor haruhusiwi kuingia mikataba,hapa sasa msimamizi (trustee) ndio anakuja.
 
Umekariri vibaya,company mkizinguana si unatafuta mtu mwingine anunue share zake na biashara inaendelea kama kawa.
Naantombe Mushi inawezekana ila hataweza kuingia mikataba itabidi awe na msimamizi.
UTAMNYANG'ANYA HIZO SHARE UZIUZE MAANA SIJAKUELEWA "ETI UTATAFUTA MTU MWINGINE ANUNUE......" HAPO KUNA MIKATABA SIO UBABE.......
 
Kwa sababa mfumo wa usajili wa sasa unahtaji kuingiza taarfa zko kutoka nida kuptia namba zako za kitambulisho
Na kitambulisho hiki bila kufikisha miaka 18 huwez kukipata
Na nilazima shareholder aingize taarifa zake za uraia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni mambo ya sheria tuu,kuna kitu kinaitwa "Trusteeship" .anaweza akasajiliwa huyo mwenye umri 18+ lakini mnufaika ni -18.
 
UTAMNYANG'ANYA HIZO SHARE UZIUZE MAANA SIJAKUELEWA "ETI UTATAFUTA MTU MWINGINE ANUNUE......" HAPO KUNA MIKATABA SIO UBABE.......
Upo sahihi ni mambo ya mkataba.inategemea mkataba unasemaje,kama mkigombana mnavunja company mnagawana au mwenye share nyingi ndio muamuzi wa mwisho ,ni nyie tuu mipango yenu.
 
Swala LA mchumba ondoa kaka!! Kwan huna wazazi aise? Coz kwenye ishu za mikataba nae pia anaOwn shareS. Isije ikatokea Bankruptcy

Sent using Jamii Forums mobile app
msimkatishe tamaa na mchumba wake. Ampe shares chache awe minority shareholder, say 10% hivi. Anakua hana say kwenye decisions ila faida anapata % yake
 
Back
Top Bottom