MCHAFUKOBE:
>Una miaka 21?
Mara nyingi binadamu ukoma kurefuka kabisa anapokuwa na mika 25.
>Labda subirisubiri unaweza kuongezeka ingawaje kwa urefu kidogo sana.
>Ila kwa umri wako huo sikushauri kabisa kutafuta madawa ya kukurefusha.
>kwasababu kunakitu kinaitwa ''ACROMEGARY'',
hili ni tatizo la mtu kunenepa sana viganja vya Mikono,Miguu,Pua na hata Kichwa endapo Homoni za ukuaji zitaendelea kuzalishwa ingali kipindi cha ukuaji kitakuwa kimepita.
>Kwa umri wako si vyema kutafuta tiba kwani unaweza kutumia leo alafu ikaanza kufanya kazi baada ya miaka kadhaa ambapo inaweza ikawa umekwisha kuvuka umri wa ukuaji.
MY TAKE:
>Mungu anamakusudi ya kukuumba jinsi ulivyo, Ebu ujikubali.