je naweza kuongezeka urefu nikiwa na umri wa miaka 21?

je naweza kuongezeka urefu nikiwa na umri wa miaka 21?

Tagawa Mwakitombile

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
464
Reaction score
393
habari wanajf

swali langu ni kwamba naweza nikaongezeka urefu ilihali ninamiaka 21 na kama naweza nikaongezeka ninapaswa kuwa na mlo wenye lishe ya vyakula ainagani?
 
Pole sana wewe ni andunje? Si rahisi kuongezeka tena, jikubali tu ulivoumbwa.
 
unaweza kulai,nyama ya twiga,twiga ni mrefu xo anaviru2bisho vitakavo kusaidia urefuke.
 
MCHAFUKOBE:
>Una miaka 21?
Mara nyingi binadamu ukoma kurefuka kabisa anapokuwa na mika 25.

>Labda subirisubiri unaweza kuongezeka ingawaje kwa urefu kidogo sana.

>Ila kwa umri wako huo sikushauri kabisa kutafuta madawa ya kukurefusha.

>kwasababu kunakitu kinaitwa ''ACROMEGARY'',
hili ni tatizo la mtu kunenepa sana viganja vya Mikono,Miguu,Pua na hata Kichwa endapo Homoni za ukuaji zitaendelea kuzalishwa ingali kipindi cha ukuaji kitakuwa kimepita.

>Kwa umri wako si vyema kutafuta tiba kwani unaweza kutumia leo alafu ikaanza kufanya kazi baada ya miaka kadhaa ambapo inaweza ikawa umekwisha kuvuka umri wa ukuaji.

MY TAKE:
>Mungu anamakusudi ya kukuumba jinsi ulivyo, Ebu ujikubali.
 
habari wanajf

swali langu ni kwamba naweza nikaongezeka urefu ilihali ninamiaka 21 na kama naweza nikaongezeka ninapaswa kuwa na mlo wenye lishe ya vyakula ainagani?


dogo umefika kikomo hapo ndo huongezeki wala kupungua
 
Back
Top Bottom