Je naweza kupata mkopo bank kwa kutumia business plan?

Business plan ni moja ya hitaji la msingi sana wakati bank wanatoa mkopo! Business plan inawasaidia kufanya risk assessment nakuangalia uwezekano wa cash flow!

Unaweza kupewa mkopo kama una dhamana (yaani unasifa ya kukopesheka)

Dhamana sio lazima, iwe ya kwako inaweza kuwa hata ya mtu mwingine ambae anaweka kwa ajili yako!

Lakini pia kuna investment loans ambazo zinatolewa kwa kuangalia kianzio kama kipo mfano unataka kujenga hotel lakini hauna mtaji, Ila una hati! Hati inatumika kama dhamana ya mkopo na business plan inatoa picha ya uwezekano wa kukopesheka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo haliwezekani , busness plani ni mipingo tu utakavyotumia pesa hizo

Una dhamana inayokopesheka kama nyumba, kiwanja ,gari ....!! N.k

Hivi mkuuu utazunguka sana bila kitu chochote hakuna mkopeshaji anayetoa fedha bila ya kuwa na dhamana

sent from toyota Allex
 
Habari ndugu zangu. Mimi ningependa kuuliza kama mtu ukawa na wazo zuri la biashara, ukaandaa business plan nzuri unaweza kupata mkopo bank? Na kama kuna mtu anafahamu ni benki gani inaweza kukubali naombeni mawazo jamani mtaani kugumu.

Njoo na plan yako nikukopeshe
 
Habari ndugu zangu. Mimi ningependa kuuliza kama mtu ukawa na wazo zuri la biashara, ukaandaa business plan nzuri unaweza kupata mkopo bank? Na kama kuna mtu anafahamu ni benki gani inaweza kukubali naombeni mawazo jamani mtaani kugumu.
una mawazo mazuri ila kwa nchi yetu hii haiwezekani kabisaaaaaa
 
pole sana mkuu mtu pekee anayeweza kukopesheka ni mwajiriwa ambaye msharaha wake unapitia kwenye hiyo benki nje na hapo ni kujitafutia magonjwa yasiyoambukiza tu kama presha nk.
 
pole sana mkuu mtu pekee anayeweza kukopesheka ni mwajiriwa ambaye msharaha wake unapitia kwenye hiyo benki nje na hapo ni kujitafutia magonjwa yasiyoambukiza tu kama presha nk.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu hayo ni maneno tu , Hakuna bank wanakataa collateral mzee... Amekutisha kutana na wataalamu wa hizo mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalamu gani awatafute wakati hapo ameshaambiwa atafute leseni arasmishe biashara yake?

Kuna taratibu tunapaswa kuzingatia na si mazowea ya kibongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu bongo sio Kama unavyofikiria... Kutana na watoto wa mjini kila kitu kinawezekana... Watu wanachukua mamilion mpaka 200 wana collateral ya Nyumba tu ...

Hayo mengine yote yanachongwa ... Hata hiyo site visit ya bank kwenye biashara mtu anakodi mizigo anaweka sehemu ya kiofisi chake ......

NASISITIZA TENA KWA HERUFI KUBWA , BONGO KILA KITU KINAWEZEKANA. I'm Done.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…