jajcom
Senior Member
- Jan 4, 2013
- 125
- 192
Business plan ni moja ya hitaji la msingi sana wakati bank wanatoa mkopo! Business plan inawasaidia kufanya risk assessment nakuangalia uwezekano wa cash flow!
Unaweza kupewa mkopo kama una dhamana (yaani unasifa ya kukopesheka)
Dhamana sio lazima, iwe ya kwako inaweza kuwa hata ya mtu mwingine ambae anaweka kwa ajili yako!
Lakini pia kuna investment loans ambazo zinatolewa kwa kuangalia kianzio kama kipo mfano unataka kujenga hotel lakini hauna mtaji, Ila una hati! Hati inatumika kama dhamana ya mkopo na business plan inatoa picha ya uwezekano wa kukopesheka.
Sent using Jamii Forums mobile app