Kiazi Kitamu
Senior Member
- Feb 16, 2013
- 122
- 126
Jibu ni ndio, ila ni lazima afisa mikopo afike eneo husika na kufanya tathimini, kabla ya kukamilisha taratibu za mkopo.Nahitaji mkopo wa shs milioni 15. Je taasisi za kifedha zinaweza kukubali kunipatia mkopo huo kwa kutumia chanzo hicho?
HAPANAJibu ni ndio, ila ni lazima afisa mikopo afike eneo husika na kufanya tathimini, kabla ya kukamilisha taratibu za mkopo.
Asante kwa ushauri wakoHAPANA
HAKUNA BENKI AU TAASISI INAYOTAMBULIWA YA KIFEDHA ITAKAYOKUKOPESHA
cha kufanya fungua biashara nyingine au Duka lolote dogo la rejareja au mgahawa
- Biashara yako ya kuwapangisha wapangaji haina Leseni, Taasisi zote zimeamriwa ziwakopeshe wanaolipa Kodi na wawe na TIN
- Wapangaji hawaaminiki leo watapanga kwa kuwa tu, wana pesa au mishahara na wakifukuzwa biashara imekufa
- km ni wenye maduka wamepanga kwako utatakiwa uwalipie 120,000kwa mwaka. flat rate kwa yeyote aliyepanga yaani 10% (iwe unachukua 100,000/ au 500,000/) unatakiwa ulipie 10,000/ kwa mwezi.
- wenye maduka wakifilisika biashara ya kurudisha mkopo uliouchukua haitalipa mkopo.
Nenda kakope kupitia TIN Kodi na Leseni
halafu dhamana weka wapangaji na hiyo nyumba
ningekushauri ukakope kwenye Mabenki ya Kilimo kwa mashamba au ADB (AFRICAN DEV BANK) km kiwanda
Mkuu ADB haikopeshi hela ndogo ndogo(samahani kwa lugha hii) inakopesha mostly serikali au labda na Corporate customers.HAPANA
HAKUNA BENKI AU TAASISI INAYOTAMBULIWA YA KIFEDHA ITAKAYOKUKOPESHA
cha kufanya fungua biashara nyingine au Duka lolote dogo la rejareja au mgahawa
- Biashara yako ya kuwapangisha wapangaji haina Leseni, Taasisi zote zimeamriwa ziwakopeshe wanaolipa Kodi na wawe na TIN
- Wapangaji hawaaminiki leo watapanga kwa kuwa tu, wana pesa au mishahara na wakifukuzwa biashara imekufa
- km ni wenye maduka wamepanga kwako utatakiwa uwalipie 120,000kwa mwaka. flat rate kwa yeyote aliyepanga yaani 10% (iwe unachukua 100,000/ au 500,000/) unatakiwa ulipie 10,000/ kwa mwezi.
- wenye maduka wakifilisika biashara ya kurudisha mkopo uliouchukua haitalipa mkopo.
Nenda kakope kupitia TIN Kodi na Leseni
halafu dhamana weka wapangaji na hiyo nyumba
ningekushauri ukakope kwenye Mabenki ya Kilimo kwa mashamba au ADB (AFRICAN DEV BANK) km kiwanda
Utapata lakini si hicho kiwango kwakuwa Marejesho ni zaidi ya MILIONI moja kwa mwezi...Asalaam wanabodi! Mm nina nyumba/vyumba vya kupanga takribani 20 ziko mjini kabisa na eneo zuri.
Na takribani kwa mwezi na uwezekano wa kuingiza kipato kisichopungua sh laki 5 kinachotokana na wapangaji wangu kwenye vyumba, na wenye mikataba.
Nahitaji mkopo wa shs milioni 15. Je taasisi za kifedha zinaweza kukubali kunipatia mkopo huo kwa kutumia chanzo hicho?
Maana sina biashara nyingine zaidi ya hiyo.
Ushauri wenu ni muhimu sanaaa
Thanks Bro, heading ina shida ganiUtapata lakini si hicho kiwango kwakuwa Marejesho ni zaidi ya MILIONI moja kwa mwezi...
Halafu heading kidogo ina shida
Okay thanksJibu ni ndio na mkopo anapata vizur tu!. Bank watathaminisha nyumba na kumpa mkopo. Kumbuka SECURITY YA MKOPO WAKO ni hilo jengo na litapigwa mnada uki-default kuulipa. Watu wanakopeka viwanja/shamba iwe nyumba!.
I think kiasi cha marejesho kinategemea na muda wa mkopo, kama ni miaka 4 au 5 nafikiri marejesho nayo yanapungua sana though mwishoni mwa siku riba utakua umelipa kubwa. Niliwahi kukopa CRDB Tsh 30M na mkataba wa kulipa ni miaka 4 au miezi 48, marejesho kwa mwezi was 900k so it depend brotherKifup hawawez kukupa,maana ungekua mfanyakaz ungeweza kupewa kiurahis zaid kukopea mshahara wako sbu watakata kdgo kdgo hata kwa miaka mitano,lakin kwa mkopo ambapo unapaswa kulipa zaid ya milion kwa mwez sio rahis,maana hutaweza kulipa kwa laki tano yako hyo,benk nying ukikopa milion 5 unapaswa kurejesha zaid ya laki 6 na kdgo kwa mwez,so kwa milion 15 ni zaid ya miliom 1 na chenchi yake,so kiufup hawakupi japo unadhamana. Watakupa kama una weza kua na ishu inayoeleweka ya kurun zaid ya milion na lak nane mpk milion mbili faida.
Una nyumba za kupangisha 20 na unasema ziko eneo zuri. Kwa mfano kila nyumba moja kwa mwaka ikikupa 1m (yaani chini ya 100,000 kwa mwezi) kwa mwaka unapata 20m. Kweli bado unahitaji kukopa 15m uje kulipa labda 20m(ukijumlisha riba)Asalaam wanabodi! Mm nina nyumba/vyumba vya kupanga takribani 20 ziko mjini kabisa na eneo zuri.
Na takribani kwa mwezi na uwezekano wa kuingiza kipato kisichopungua sh laki 5 kinachotokana na wapangaji wangu kwenye vyumba, na wenye mikataba.
Nahitaji mkopo wa shs milioni 15. Je taasisi za kifedha zinaweza kukubali kunipatia mkopo huo kwa kutumia chanzo hicho?
Maana sina biashara nyingine zaidi ya hiyo.
Ushauri wenu ni muhimu sanaaa
Mkuu soma tena maelezo yangu nimetaja kiwanda, lkn ungemsaidia mleta mada kwanza atapataje mkopo km anapangisha?Mkuu ADB haikopeshi hela ndogo ndogo(samahani kwa lugha hii) inakopesha mostly serikali au labda na Corporate customers.
Hapa unaongelea wenye uwezo wa kukopa labda bil. 50 yani ni mafigure makubwa makubwa tu.
kweli kabisa MkuuKweli ni Muhimu tujadili hili swala la mkopo wapo wengi uelewa bado ni mdogo na tunahitaji kukopa. Pia tufahamishane taasisi gani zina Riba ya Kuvutia.