Kiazi Kitamu
Senior Member
- Feb 16, 2013
- 122
- 126
Asalaam wanabodi! Mm nina nyumba/vyumba vya kupanga takribani 20 ziko mjini kabisa na eneo zuri.
Na takribani kwa mwezi na uwezekano wa kuingiza kipato kisichopungua sh laki 5 kinachotokana na wapangaji wangu kwenye vyumba, na wenye mikataba.
Nahitaji mkopo wa shs milioni 15. Je taasisi za kifedha zinaweza kukubali kunipatia mkopo huo kwa kutumia chanzo hicho?
Maana sina biashara nyingine zaidi ya hiyo.
Ushauri wenu ni muhimu sanaaa