fredick Member Joined Aug 21, 2024 Posts 13 Reaction score 17 Jan 12, 2025 #1 Habari za sahivi wana JamiiForums, Naomba kujua kama umesoma veta hadi level 3, sasa unataka kwenda diploma je unaweza pewa mkopo, na kwa njia zipi? Msaada tafadhali
Habari za sahivi wana JamiiForums, Naomba kujua kama umesoma veta hadi level 3, sasa unataka kwenda diploma je unaweza pewa mkopo, na kwa njia zipi? Msaada tafadhali