Je! Naweza kupata nafasi ya kusoma MD au pharmacy MUHAS?

...ndio inawezekana...but competition ya muhas huwa n kubwa sana almost kila mwaka especialy kwa pharmacy and M.D..kwa marks zako hizo uwezekano uwezekano wa kuhmil compettn n mdogo sana..mwaka jana mie nliomba pale m.d and bpharmacy nikiwa na two ya 11 bt they kicked me out...labda kwa ushauri tu kama ndoto zako ni kuwa doctor au pharmast apply udom,cuhas,kcmc and the like...and kingne jarb kuwa flexible,usilazmishe kusoma md au pharm tu...hii kitu ilinicost sana mie...nipm 4 more info
 
Kwa mwaka huu izo point sina uhakika sana kwn umetembelea profile lako la TCU wamekwambia nn
 
Unaweza kupata,competition matters hapo

Umesema kweli. Kwa walivyopanua magoli BRN, almost every one has As- ushindani ni mkubwa.mtihani unapokuwa rahisi kila mmoja atapasi na wajinga pia
 
...ndio inawezekana...but competition ya muhas huwa n kubwa sana almost kila mwaka especialy kwa pharmacy and M.D..kwa marks zako hizo uwezekano uwezekano wa kuhmil compettn n mdogo sana..mwaka jana mie nliomba pale m.d and bpharmacy nikiwa na two ya 11 bt they kicked me out...labda kwa ushauri tu kama ndoto zako ni kuwa doctor au pharmast apply udom,cuhas,kcmc and the like...and kingne jarb kuwa flexible,usilazmishe kusoma md au pharm tu...hii kitu ilinicost sana mie...nipm 4 more info

Cuhas ni chuo kizuri in every aspect!
 
Hizo point kama ni mwaka jana hiyo ni Div 3.....Sio tuu kupata hizo course bali hata kuchaguliwa hapo Muhas itakuwa mbinde...
 
Kwa mwaka huu izo point sina uhakika sana kwn umetembelea profile lako la TCU wamekwambia nn

profile langu nimeambiwa IN PROGRESS sehemu ya selection status. both MD &pharmacy nasehemu ya met min requirements imekua processed
 
So itategemea na competition tu ila kama itakua sawa unaweza pats but sina uhakika hundred percent
 
wakuu msaada wa vyuo private vyenye nafasi ya masomo ya diploma ya MD mwaka 2014/2015
NATANGULIZA SHUKRANI KWA WOTE
 
Back
Top Bottom