Je, naweza kurudisha account Facebook kuwa yangu tena?

Je, naweza kurudisha account Facebook kuwa yangu tena?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari zenu wadau natumaini mko njema?

Ok kama niliposema hapo juu ni kuwa nina Account nimeiona na ilikuwa yangu ila kitambo sana na sijui ata nilifungulia namba ipi pia password yake nimesahau.

Na sasa hivi nina Account nyingine ila ninachotaka ile pale niweze kuingia mule na kuweza kuifuta isionekane kabisa, msaada wenu wadau
 
Inawezekana kama hizo namba za simu bado ziko active, vinginevyo haiwezekani.
 
Inawezekana kama hizo namba za simu bado ziko active, vinginevyo haiwezekani.
Nipatie maelekezo nifanyeje! Maana namba nazo nilizosajilia ata sizikumbuki kabisa maana ni toka 2014
 
Back
Top Bottom