Je naweza kutumia king'amuzi cha Dstv cha South Africa hapa Tanzania?

Mario Kempes

Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
63
Reaction score
122
Naombeni wenye kujua mje mnijuze na je malipo ntalipaje nikiwa hapa nyumbani maana nimegundua king'amuzi cha Dstv cha South Africa ni gharama nafuu kulinganisha na hapa kwetu
 
Unamaanisha gharama za mwezi? Kuna huduma hapa lazima ban likuhusu mfano hio PPV( pay per view) kulipia kile unachotaka kutizmaa tu na mengine ila vyema kuwaandikia tu kwenye page zao social networks wako fasta kukujibu.
 
Back
Top Bottom