Mjamaa masalia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 373
- 354
mie nimenyoa kwa magic powder ila tafta mtaalam ucje ukabandua ngozi
Habari waugwana.
Hivi karibuni nimepata tatizo la kiafya kuna ugonjwa unaitwa ALOPECIA AREATA ambao umenikumba na ugonjwa huu unasababisha baadhi ya sehemu kichwani kutoota Nywele.
Baada ya kwenda hospitali nilipewa dawa na sasa naendelea na matibabu lakini Dr alisema itachukua hata miezi sita kurejea katika hali ya kawaida.
Sasa tatizo linakuja hata nikinyoa nywele bado yale zile sehemu ambazo nywele hazioti zinaonekana sana.
Sasa kuna mtu kanishauri nisinyoe kwa mashine na badala yake nitumie MAGIC POWDER hivyo naomba ushauri kwa mtu ambae amewahi kutumia.
Nawasilisha.
C.c Mzizimkavu
Hata mimi nina tatizo kama hilo nilimuona DR. Wa magonjwa ya ngozi akaniambia nina mafuta mengi kwenye njia za nywele
Ninanyoa na kiwembe kila baada ya siku3 najinyoa mwenyewe na sabuni bafuni
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
magic powder sio nzuri, ukimkuta ambaye si mtaalam inaunguza sana, mi yalishanikuta, kuna dawa iko kwenye tube ndio ninayotumia, anakupaka kichwani inakuwa kama sabuni ndio anatumia wembe na wembe mzuri ni gireti, barber shop nyingi wanakuwa nazo.Habari waugwana.
Hivi karibuni nimepata tatizo la kiafya kuna ugonjwa unaitwa ALOPECIA AREATA ambao umenikumba na ugonjwa huu unasababisha baadhi ya sehemu kichwani kutoota Nywele.
Baada ya kwenda hospitali nilipewa dawa na sasa naendelea na matibabu lakini Dr alisema itachukua hata miezi sita kurejea katika hali ya kawaida.
Sasa tatizo linakuja hata nikinyoa nywele bado yale zile sehemu ambazo nywele hazioti zinaonekana sana.
Sasa kuna mtu kanishauri nisinyoe kwa mashine na badala yake nitumie MAGIC POWDER hivyo naomba ushauri kwa mtu ambae amewahi kutumia.
Nawasilisha.
C.c Mzizimkavu
magic powder sio nzuri, ukimkuta ambaye si mtaalam inaunguza sana, mi yalishanikuta, kuna dawa iko kwenye tube ndio ninayotumia, anakupaka kichwani inakuwa kama sabuni ndio anatumia wembe na wembe mzuri ni gireti, barber shop nyingi wanakuwa nazo.