Mjamaa masalia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 373
- 354
Habari waugwana.
Hivi karibuni nimepata tatizo la kiafya kuna ugonjwa unaitwa ALOPECIA AREATA ambao umenikumba na ugonjwa huu unasababisha baadhi ya sehemu kichwani kutoota Nywele.
Baada ya kwenda hospitali nilipewa dawa na sasa naendelea na matibabu lakini Dr alisema itachukua hata miezi sita kurejea katika hali ya kawaida.
Sasa tatizo linakuja hata nikinyoa nywele bado yale zile sehemu ambazo nywele hazioti zinaonekana sana.
Sasa kuna mtu kanishauri nisinyoe kwa mashine na badala yake nitumie MAGIC POWDER hivyo naomba ushauri kwa mtu ambae amewahi kutumia.
Nawasilisha.
C.c Mzizimkavu