Habari Ndugu Zangu, Kwanza Nianze Kwa Kuwashukuru Wote Mlionipatia Ushauri Wakati Napitia Hali Ngumu, Hakika Jamii Forums Kuna Watu Wema Sana. MUNGU Awabariki 🙏
Uamuzi Niliouchukua Ni Kwenda Chuo, Hivyo kwasasa Nasoma Diploma in Primary Education Katika Mtaala Mpya huu wa Elimu Na Inshallah Nitakuwa Mwalimu wa ENGLISH.
Back to the Topic, Mdogo Wenu Nina Kipaji Cha Kuimba, Watu Wengii Wameniambia Hivyo Kwamba Nina Kipaji.
Nakumbuka Wakati Nafanya Kazi ya Ulinzi Pale G1 Security Nyakati za Usiku Nilikuwa Naimba Sana, Wale Wahindi, Drivers na Maids wa Pale Waliniambia Nina Kipaji, Hata Chuoni ni The Same, Watu Wanaonisikiaga Naimba Huniambia Nina Kipaji. Binafsi huwa Naamini "Lisemwalo Lipo".
Sasaa Swali Ambalo huwa Najiuliza ni Kwamba Je, Naweza kuwa Muimbaji Mzuri Nikiwa na huu Usikivu Hafifu !? Maana Kuna Mambo ya Studios, Beats, Rhythms Na Mambo kama Hayo.
Na Pia ishu za Kuibiana Nyimbo kwa Wasanii ( Nahofia Wasije Wakaiba Nyimbo Zangu Pasipo Mimi Kujua )
Swali Jingine, Kwa Mtu Anayeanza Muziki kwa Kuanzia ni Wapii !? Je, Producer Atakubali Kurekodi Nyimbo zako Bila Cash !? Au Nianze Kutafuta Wafadhili !?
Ndugu Zangu Naombeni Majibu Yenu...
God Bless You All !!!