Adrian Stepp
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,591
Inaitwa Waxing! Ni nzuri..inafanya nywele zichelewe kuota kama miezi miwili mpaka mitatu..ni nzuri waxing pia Kwa sehemu nyingine!Kuna baadhi ya salon wanazinyofoa kwa mtindo wa kubandika aina fulani ya masking tape yenye gundi inayoshika sana kisha wanaivita kwa haraka kama vile wanachana mfuko wa saruji chraaaaaa( zinang'oka) lakini huwa zinaota tena baada ya muda