Adrian Stepp
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,591
Inaitwa Waxing! Ni nzuri..inafanya nywele zichelewe kuota kama miezi miwili mpaka mitatu..ni nzuri waxing pia Kwa sehemu nyingine!Kuna baadhi ya salon wanazinyofoa kwa mtindo wa kubandika aina fulani ya masking tape yenye gundi inayoshika sana kisha wanaivita kwa haraka kama vile wanachana mfuko wa saruji chraaaaaa( zinang'oka) lakini huwa zinaota tena baada ya muda
Habari zenu wakuu,Mara nyingi nimeona wanaume wengi wanachukizwa na nywele zinazoota kwenye kifua na tumbon( garden love)i.Hili likoje wadau na je kuna dawa yoyote ya kuweza kuondoa kabisa hizi nywele zisiote tena naombeni tufahamishane wakuu maana muda mwingine zinakera sana.
πππZinakera ikiwa zimeota HOVYO HOVYO.. yaaan hazijafuata mtiririko kutoka usawa wa shingoni (chini ya shingo) mpka kitovuni.. Kisha kimstari kushuka hadi katik Mashine.. Huo ndio uotaji wa Garden.. Na sio ziote Kwenye mbavu sijui mgongoni ..
Mtoto wa kiume kunyoa Garden ni Ushoga unakunyemelea kidogo kidogo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo nikunyoeNaomben na mm jibu coz I have a lot of hairs[emoji3064] kifuani tumbon na ndevu na wanasema nisionyoe