Je, naweza nikapata jicho la bandia? Naweza nikalipata wapi na kwa gharama ya sh ngapi?

Nenda CCBRT IPO msasani dar au nenda China wana ujuzi wa kuweka mboni ya nguruwe.

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Mkuu mboni au jicho.

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
kwanza mshukuru MUNGU umenusurika mkuu na ajali! pole sana jaman yaan nimesisimka! sikia ajali tu jaman! pole tena! hope utapata msaada!
 
Nenda CCBRT IPO msasani dar au nenda China wana ujuzi wa kuweka mboni ya nguruwe.

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Inakuwaje kama huamini huyo mnyama
 
Sheria imeruhusu kwenye dharura nguruwe atumike.Isitoshe DNA za nguruwe huondolewa kabla hujawekewa mboni hiyo.

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Madaktari wengi wamekariri tu hawana utaalam.
 
Bila shaka ushauri huo haukutolewa na wale wazungu.
 
Katika uzi ambao nimeusoma kwa uchungu tokea nijiunge na JF ni huu hapa! pole sana.
 
niliwahi kuona uzi humu ukisema jicho la nguruwe likipachikwa huwa linaona, wachina ndio wavumbuzi wa hiyo teknolojia, sasa nikajiuliza kwa wenzangu waislamu hapa inakuwaje aisee
Umejiuliza pia kuhusu wasabato, jews na hindu na budha ?

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
 
Duuuuh mkuu wakalipeleka wapi jasho walivyolitoa,,,,,,,

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana kaka. Mungu azidi kukupa faraja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…