Je, naweza nikasoma information technology ikiwa mimi ni mwana arts?

Je, naweza nikasoma information technology ikiwa mimi ni mwana arts?

abdala pembe

Member
Joined
Aug 31, 2018
Posts
6
Reaction score
3
mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka jana nimesoma masomo ya art lakini nahitaji kusomea information technology,je naweza nikasomea ikiwa mimi ni mwana arts
 
Hauwezi kwakuwa inabidi angalau uwe umefaulu Physics na Maths.

Lakini kwa vyuo vya kikanjanja inawezekana. Jaribu bahati yako.
 
O level nina D ya physics na F ya math. Vip siwezi jaribu
 
kaka kama una d ya math o level na english olevel ulipass vizur unasoma IT katika vyuo vya NIT, OUT, NA CHUO KIKUU CHA ZANZIBAR ila mwenye f ya math asahau kusoma IT hope nimekusaidia ALL THE BEST
 
mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka jana nimesoma masomo ya art lakini nahitaji kusomea information technology,je naweza nikasomea ikiwa mimi ni mwana arts
Kama diploma udom utasoma pia lakin degre hapan sina uhakik
 
Nenda Kilimanjaro institute iko karibu na bodi ya mikopo mwenge nilianza pale na certificate kabla ya kwenda UCC pale ni ghafla tu umemaliza na hawana muda maalumu wa intake
 
Hauwezi kusoma masomo yoyote yanayohusu computer ukiwa arts , ukikuta chua kinakuchukua ujue unaibiwa tcu wakikukuta wanakufukuza kama walivyofanya kwenye baadhi ya vyuo , kwenye IT kuna module za physics unasoma vipi wakati wewe ni arts? labda ukasome vikozi vya mtaani ambavyo siku hizi mnaita IT lakini chuo huendi kwa kozi uliyosoma wewe.
 
kaka kama una d ya math o level na english olevel ulipass vizur unasoma IT katika vyuo vya NIT, OUT, NA CHUO KIKUU CHA ZANZIBAR ila mwenye f ya math asahau kusoma IT hope nimekusaidia ALL THE BEST
Acha kumdanganya mwenzio...mbona mimi nimechaguliwa OUT kusoma COMPUTER SCIENCE diploma....wakati Math..nina F...Physcis nina D
 
Je naweza nikawa mwana IT na nina shida ya kusikia naombeni mnishauri
 
Back
Top Bottom