Je naweza pata mkopo wa gari?

Je naweza pata mkopo wa gari?

DAIMA-L

New Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
2
Reaction score
1
Habar Wana JF, ningeependa kujua Kama kuna mahala au yard ya Magar, napoweza kupata na kulipa kwa awamu kid go kidgo kwa riba, nahitaj Sana usafiri niko Arusha.....maximum 7 million. Asanten wakuu
 
Bora ukope sehemu ili ukanunue gari kuliko kukopa gari kama gari hukawii kuambiwa gari la milioni kumi na mbili wakakuuzia milion kumi na tano kwa mkopo.
 
ukipata ajal na mkopo hujamaliza kulipa ?? kitu hakiingizi pesa unataka kopa?? kumbuka wakat huo utaweka kitu bondi....we jichange ukifikisha hiyo uagize gari kwa bajet yako hiyo unaeza pata passo na duet
 
Labda nikwaajili ya biashara UBER, ao. TAXIF?
 
Mimi natoa wito kwa mtu yeyote mwenye gari yeyote nzima, ao inashida ndogo ndogo kaipaki tu nyumbani. Ni PM, tuingie mkataba kila mwezi nikupe kiasi gani kisha baada ya mda fulani nabaki nayo. NB:kipindi nitakua nafanya kazi na gari yako kartasi zote za muhimu zitabaki kwa nwenyew.
 
Back
Top Bottom