Je naweza pona hili tatizo la jicho?

Je naweza pona hili tatizo la jicho?

Neybro

Senior Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
126
Reaction score
41
wanajamvi nilipata ajali ya jicho utotoni nilichomwa na katani jichoni,nilikimbizwa hospitali ya Nkinga nikapata operation pale lakin baada ya hapo jicho langu lilikaa upande na hivi sasa ninaonekana kama nina makengeza!So nikua na nina miaka ishirini na nne nataka kama kunauwezekano nifanyiwe oparation tena!Je naweza kufanyiwa operation na jicho likakaa sawa??na niende hospital gani??
 
Ni bora ukamwona specialist wa macho akukupe jibu mwafaka.
 
wanajamvi nilipata ajali ya jicho utotoni nilichomwa na katani jichoni,nilikimbizwa hospitali ya Nkinga nikapata operation pale lakin baada ya hapo jicho langu lilikaa upande na hivi sasa ninaonekana kama nina makengeza!So nikua na nina miaka ishirini na nne nataka kama kunauwezekano nifanyiwe oparation tena!Je naweza kufanyiwa operation na jicho likakaa sawa??na niende hospital gani??

Nenda CCRBT, Dar es salaam, kuna specialists wa macho wengi, usikatishwe tamaa na wajinga wachache wanaokujibu kwa kukutanisha tamaa
 
Nenda CCRBT, Dar es salaam, kuna specialists wa macho wengi, usikatishwe tamaa na wajinga wachache wanaokujibu kwa kukutanisha tamaa

Thanks nitajitahidi niende hapo ndugu!!Asante maana kama inawezekana bora nifanye operation tena
 
wewe jikubali tu usije kosa kengeza ukapata chongo.....

Mpaka hapa nishajikubali !I have more tha 23 years with this problem but kama inawezekana kufanyiwa operation kwanini nisiulize while nina uwezo wa kugharamia hata kwenda nje??Nimeuliza ili nijue kama inawezekana or not na sio inshu ya kujikubali!Ila asante kwa mtazamo wako pia
 
Km jicho lako halina shida ungebaki hivyohivyo ndugu au una ona haya kwa kuwa kengeza
 
Km jicho lako halina shida ungebaki hivyohivyo ndugu au una ona haya kwa kuwa kengeza

Wala halina shida but kinachowezekana kwanini kisifanyike mkuu??au unasemaje?Lilikua linauma zaman bt now likopoa
 
pole sana, pale Regence Hospital kuna Specialist mzuri wa macho,.

Jaribu kwenda utapata msaada wa tatizo lako!!!
 
Haya km umeamua lkn km hakuna ulazima bora ungeliacha ,maana usingetengeneza ugonjwa mwingine
 
Pole km halina shida acha tu,ila samahanini wanajamvi kuna tiba ya macho kwa njia mionzi kuna yeyote mwenye hufaham wa hii tiba?
 
Haya km umeamua lkn km hakuna ulazima bora ungeliacha ,maana usingetengeneza ugonjwa mwingine

Yaaah ngoja nifike kwanza kwa hawa spesholist nilioelekezwa then nitazingatia ushauri wao pia!Maana i waz just want to get ushauri kutoka kwenu wadau pia!Thanks
 
pole sana, pale Regence Hospital kuna Specialist mzuri wa macho,.

Jaribu kwenda utapata msaada wa tatizo lako!!!

Thanks Mkuu nitajitahidi niende na nita wapa feedback
 
Back
Top Bottom