Gavinci
Member
- Mar 12, 2021
- 48
- 45
Habari zenu wakuu,
Najua fika kua jukwaa hili limejaa watu werevu na wenye uzoefu tofaut tofaut kwenye sekta ya ujasiriamali, hivyo ndugu zanguni nimekuja kuomba mawazo yenu ili niwezepata muongozo.
Hapa nilipo nina freezer boss lita150, nina kabati la vioo yale ya chips saiz ya kati, nina mzani ile ya dukani, na nina cash ya laki mbili na nusu ( Tsh 250,000/= ).
Nilikua naomba wazo jinsi ya kuibalance hiyo hela kulingana na vifaa nilivyo navyo ili kuweza kuingiza kipato, hata kama ni kifaa kimojawapo au vyote kulingana na uzeoef wenu wakuu.
NB: vifaa hvyo nilikua nanunua tu nilipopata visenti nikiwa kibaruani nikiamini siku moja vitakuja kunipiga tafu. Leo hii kibarua kimekwisha na hivyo ndo nilivyo navyo. Mimi ni mkazi wa mabibo luanga.
Nakaribisha mawazo yenu wakuu.
Akhsante.