G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Wanabodi ni katika kutaka kufahamu na kuelimishana, mfano, iwapo Nchi ilikuwa inatambuliwa na Mashirika haya yanayoongoza mpira (FIFA, CAF) baadaye ikakiuka mambo fulani na kupelekea kufungiwa, na kuna vilabu vineona vipaji mle vya kununua, je hiyo biashara inafanyikaje? ITC(kama nimekosea hapo ruksa kusahihishwa) itatolewa na nani wakati nchi haitambuliwi kisoka, take an example nchi jirani zetu Kenya.