Je, Nchi Iliyofungiwa Na Fifa/Caf Kuhusika Na Maswala Ya Soka, Inaweza Kutoa Kibali Kwa Mchezaji Wa Nchi Yake Kuuzwa Nje Ya Mipaka Yake?

Je, Nchi Iliyofungiwa Na Fifa/Caf Kuhusika Na Maswala Ya Soka, Inaweza Kutoa Kibali Kwa Mchezaji Wa Nchi Yake Kuuzwa Nje Ya Mipaka Yake?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4,369
Reaction score
5,248
Wanabodi ni katika kutaka kufahamu na kuelimishana, mfano, iwapo Nchi ilikuwa inatambuliwa na Mashirika haya yanayoongoza mpira (FIFA, CAF) baadaye ikakiuka mambo fulani na kupelekea kufungiwa, na kuna vilabu vineona vipaji mle vya kununua, je hiyo biashara inafanyikaje? ITC(kama nimekosea hapo ruksa kusahihishwa) itatolewa na nani wakati nchi haitambuliwi kisoka, take an example nchi jirani zetu Kenya.
 
Vikwazo huwa vinabainisha kabisa kuwa umefungiwa katika kipengele kipi? Ushiriki wa mashindano, kusajili wachezaji, n.k mfano urusi timu ya taifa ilifungiwa lakini vilabu vinaendelea na ligi inaendelea.
 
Vikwazo huwa vinabainisha kabisa kuwa umefungiwa katika kipengele kipi? Ushiriki wa mashindano, kusajili wachezaji, n.k mfano urusi timu ya taifa ilifungiwa lakini vipabu vinaendelea na ligi inaendelea.
Ok mkuu...sasa kwa style hiyo, ina maana itc itatolewa na Shirika hilo hilo lililifungiwa...si huo ni mkanganyiko mkuu?
 
Back
Top Bottom