Inatafakarisha, na swali ni je vyombo vya ulinzi na ulasama wanakuwa hawajui kama kuna watu wengine wanaoweza kuingia katika nchi yao na kufanya wanachotaka pia wakaweza kuondoka bila kukamatwa.Mkimbizi wa kisiasa akimbilie nchi za ulaya na marekani, kenya na uganda ni nchi za kishenzi kukunasisha udakwe ni rahisi. Marekani huwezi kufuata mkimbizi huko ukamteke utaishia kutekwa wewe
Hasa KenyaNini maoni yako. 👇🏻
Je, Nchi za Kiafrika Bado Ni Salama kwa Wakimbizi wa Kisiasa, au Haki na Usalama Wao Viko Hatarini?
Ukitembelea nchi zote za kiafrika, zinafanana kimazingira, kiutawala n.k rejea 'dark continent'Mifumo ipi mkuu