Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani?

Miezi michache iliyopita Karama Harris alipokuja Tanzania baada ya kutoka magogoni kuonana na bimkubwa alikuja kwenye jengo letu lililopo maeneo ya mikocheni ule ulinzi sio poa, kuna vitu vilijitokeza pale kwenye jengo ndani ya miezi minne mfululizo kabla vilikuwa havieleweki siku moja kabla hajaja mjengoni ndipo tulipoelewa kumbe kuna namna sio bure. aisee kuna watu wanalindwa jamani hapa duniani,wale CIA hawana jambo dogo hivi kama makamu analindwa vile hivi rais wao si ni zaidi?!

Jirani ya jengo letu la ofisi ulitokea mlipuko wa wazungu wa kike na kiume kukodi ofisi na fremu tulishangaa sana, kwenye underground floor wakapachukua na kuweka kama duka la kuuzia simu, laptops & other accessories wakijitanabaisha ni wadenmark, jamaa zangu waroho wa wanawake wa kizungu wacha wafukuzie totoz kumbe wenzao wapo kwenye misheni za kuhakiki ulinzi wa makamu wao wa rais, baada ya ziara na wao wakayeyuka [emoji23][emoji23]
 
Basi robo tatu ya mkutano Huwa ni wao kwa wao ukijichanganya unachanganywa CIA Wana mjua Israel jamaa hata uwe na nyuklia kama kiduku akija kuchukua namba unarudisha bila mbwembwe, ila Mungu ni kiboko ya wajuaji.
 
teh teh teh dah wazew wa totoz kama nawaona walivyoachwa kwenye mataa
 
Nmejikuta nacheka tu mwenyewe
 
Hahahaha tuko jengo moja mkuu
 
"John F. Kennedy mwaka wa 1901"! Alikuwa hajazaliwa.
 
Awamu ya kwanza ya Kikwete walijaribu kuweka ulinzi wa ndege kuisindikiza ndege ya rais! Hawakuendelea na mpango huo inawezekana waliona aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…