Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani?

Huyu jamaa alifanya uboya sana. Kama aliendelea kuwa hai basi anabahti isiyo elezeka.
 
Inasemekana katika siku za mwanzo za u-rais wake, Rais Bill Clinton aliwahi kulalamika kuwa walinzi wanamnyima faragha binafsi. Mahala fulani alionekana akiwa ufukweni na mkewe huku magwiji wa 'Secret Service' wakiwa hatua chache..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…