Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Ndege gani unaizungumzia mkuu?Na wewe kichwani upo sawa, sasa ile ndege iliyoshikwa no hizi aliyonunua Magufuli au kijiwe cha kahawa chenu ndiyo mnadanganyana hivyo. Yaani ndege ya kununuliwa kipindi shirika limebinafsishwa na ndege mkiani ina rangi ya bendera ya Afrika ya kusini baada ya shirika la ndege la huko kununua hisa 50%. Uje kusema ni mradi wa Magufuli. Ile ndege ipo toka hizo zama za JK.
PUNGUZA KUKURUPUKA