Ndege gani unaizungumzia mkuu?Na wewe kichwani upo sawa, sasa ile ndege iliyoshikwa no hizi aliyonunua Magufuli au kijiwe cha kahawa chenu ndiyo mnadanganyana hivyo. Yaani ndege ya kununuliwa kipindi shirika limebinafsishwa na ndege mkiani ina rangi ya bendera ya Afrika ya kusini baada ya shirika la ndege la huko kununua hisa 50%. Uje kusema ni mradi wa Magufuli. Ile ndege ipo toka hizo zama za JK.
PUNGUZA KUKURUPUKA
Ndiyo!Kwahiyo unaamka na kulala airport kila siku unaziona zipo grounded
Hizi ndege kubwa zote zinatia hasara kwani naona kila siku zimepaki tu hapo Terminal 3,tulinunua ndege kisifa sifa bila kuwa na Business plan. Hakika mtu yule amelitia Taifa hasara kubwa.