Acha unazi wewe.....ndege ya ET ilioua hadi zikazuiwa ilikuwa si mpya? Nani amekwambia kitu kipya hakipati hitilafu? KQ mnaumia sana na ATCL.Ninavyoandika hivi, ndege ya ATCL Airbus 220 imeharibika Mwanza tangu saa 1 Asubuhi na abiria wote wamekwama.
Hizi ndege ambazo zinadaiwa kuwa mpya zimekuwa zikiharibika kila mara, na hiyo inapelekea kuhoji ubora wa hizi ndege. Kama ni mpya, kwa nini ziharibike kila mara?
Nimeondoka na Precision punde huko abiria wote wa ATCL wakiwa wamebakia uwanjani bila majibu kwamba ni lini wataondoka kuja Dar. Nadhani haya ni matokeo ya serikali kujiingiza kwenye biashara.
Mtasubiri sana.Kama vipi waziuze tu ili tulipwe hela zetu za kutopandishwa madaraja kwa mwaka wa sita huu sasa!
Au mnasemaje ndugu zangu watumishi wa umma?
Maana yule mzee alitupotezea wakati ule kwa kisingizio cha kununua ndege eti!!
Inaweza kuwa ni mpya, lakini matumizi yakawa hovyo. Maana mkuu huamua tuu wape hawa lift, wapelek hawa Kanda pendwa, bila kujali masaa ya service yamefika au laahh..Ninavyoandika hivi, ndege ya ATCL Airbus 220 imeharibika Mwanza tangu saa 1 Asubuhi na abiria wote wamekwama.
Hizi ndege ambazo zinadaiwa kuwa mpya zimekuwa zikiharibika kila mara, na hiyo inapelekea kuhoji ubora wa hizi ndege. Kama ni mpya, kwa nini ziharibike kila mara?
Nimeondoka na Precision punde huko abiria wote wa ATCL wakiwa wamebakia uwanjani bila majibu kwamba ni lini wataondoka kuja Dar. Nadhani haya ni matokeo ya serikali kujiingiza kwenye biashara.
Basi hizo Precision ni mpya maana hazijaharibika na umeweza kusafiri nayo.Ninavyoandika hivi, ndege ya ATCL Airbus 220 imeharibika Mwanza tangu saa 1 Asubuhi na abiria wote wamekwama.
Hizi ndege ambazo zinadaiwa kuwa mpya zimekuwa zikiharibika kila mara, na hiyo inapelekea kuhoji ubora wa hizi ndege. Kama ni mpya, kwa nini ziharibike kila mara?
Nimeondoka na Precision punde huko abiria wote wa ATCL wakiwa wamebakia uwanjani bila majibu kwamba ni lini wataondoka kuja Dar. Nadhani haya ni matokeo ya serikali kujiingiza kwenye biashara.
Usilalamike, wakati wa masika na maua ya embe ndege hupata maradhi madogomadogo ya kushindwa kupumua.Ninavyoandika hivi, ndege ya ATCL Airbus 220 imeharibika Mwanza tangu saa 1 Asubuhi na abiria wote wamekwama.
Hizi ndege ambazo zinadaiwa kuwa mpya zimekuwa zikiharibika kila mara, na hiyo inapelekea kuhoji ubora wa hizi ndege. Kama ni mpya, kwa nini ziharibike kila mara?
Nimeondoka na Precision punde huko abiria wote wa ATCL wakiwa wamebakia uwanjani bila majibu kwamba ni lini wataondoka kuja Dar. Nadhani haya ni matokeo ya serikali kujiingiza kwenye biashara.
NyanhokoWeka ushahidi bwashee!
Tuzipe muda au tuzipe oxygen😅Zina changamoto ya kupumua, tuzipe muda...