Ninavyoandika hivi, ndege ya ATCL Airbus 220 imeharibika Mwanza tangu saa 1 Asubuhi na abiria wote wamekwama.
Hizi ndege ambazo zinadaiwa kuwa mpya zimekuwa zikiharibika kila mara, na hiyo inapelekea kuhoji ubora wa hizi ndege. Kama ni mpya, kwa nini ziharibike kila mara?
Nimeondoka na Precision punde huko abiria wote wa ATCL wakiwa wamebakia uwanjani bila majibu kwamba ni lini wataondoka kuja Dar. Nadhani haya ni matokeo ya serikali kujiingiza kwenye biashara.