Kama ulimfuatilia ndg. Polepole jana wakati wa press yake kupitia mitandao ya kijamii, aliulizwa swali, ikiwa hawatasikiliza kabisa na kufuata ushauri wake ni nini kitafuata au atafanyeje, ndg. Polepole alisema tena mara tatu kwa kurudia kwamba wasiposikiliza 'watafanya maamuzi magumu zaidi ambayo yanaweza hata kulipasua taifa katikati, kuliko hata hali ilivyo sasa', huku akitadhaharisha kwamba wasilazimishe mambo kufikia huko.
Kingine akasema, yeye amejipanga kweli kweli na atahakikisha safari hii wanamtandao hao hawafanikiwi kabisa.
Sasa, najiuliza Polepole peke yake ataweza kweli kuwakabili wanamtandao na kuwasambaratisha?, kama alivyoahidi jana, endapo hawatamsikiliza, wao( yeye na wengine ambao hakuwataja) watafanya maamuzi magumu ambayo taifa halitarajii kabisa, lakini je hao ambao atafanya nao maamuzi hayo ni hakina nani?