Muda utasemaKama ulimfuatilia ndg. Polepole jana wakati wa press yake kupitia mitandao ya kijamii, aliulizwa swali, ikiwa hawatasikiliza kabisa na kufuata ushauri wake ni nini kitafuata au atafanyeje, ndg. Polepole alisema tena mara tatu kwa kurudia kwamba wasiposikiliza 'watafanya maamuzi magumu zaidi ambayo yanaweza hata kulipasua taifa katikati, kuliko hata hali ilivyo sasa', huku akitadhaharisha kwamba wasilazimishe mambo kufikia huko.
Kingine akasema, yeye amejipanga kweli kweli na atahakikisha safari hii wanamtandao hao hawafanikiwi kabisa.
Sasa, najiuliza Polepole peke yake ataweza kweli kuwakabili wanamtandao na kuwasambaratisha?, kama alivyoahidi jana, endapo hawatamsikiliza, wao( yeye na wengine ambao hakuwataja) watafanya maamuzi magumu ambayo taifa halitarajii kabisa, lakini je hao ambao atafanya nao maamuzi hayo ni hakina nani?
CCM isidharau hoja zake kwa sababu ni za msingi na zinaweza kutumiwa na "wagombea makini" wa vyama vya upinzani, ngazi zote za Uchaguzi Mkuu km ya Rais, Wabunge na Madiwani, kwenye kampeniKama ulimfuatilia ndg. Polepole jana wakati wa press yake kupitia mitandao ya kijamii, aliulizwa swali, ikiwa hawatasikiliza kabisa na kufuata ushauri wake ni nini kitafuata au atafanyeje, ndg. Polepole alisema tena mara tatu kwa kurudia kwamba wasiposikiliza 'watafanya maamuzi magumu zaidi ambayo yanaweza hata kulipasua taifa katikati, kuliko hata hali ilivyo sasa', huku akitadhaharisha kwamba wasilazimishe mambo kufikia huko.
Kingine akasema, yeye amejipanga kweli kweli na atahakikisha safari hii wanamtandao hao hawafanikiwi kabisa.
Sasa, najiuliza Polepole peke yake ataweza kweli kuwakabili wanamtandao na kuwasambaratisha?, kama alivyoahidi jana, endapo hawatamsikiliza, wao( yeye na wengine ambao hakuwataja) watafanya maamuzi magumu ambayo taifa halitarajii kabisa, lakini je hao ambao atafanya nao maamuzi hayo ni hakina nani?
Hadi wasipokuwepo miiba yao itaendelea kupandalabda afe kikwete na rostam, na kila siku wanasajili wana mtandao wapya kama samia, abdul, etc
Kwani nawe umejipangaje?Kama ulimfuatilia ndg. Polepole jana wakati wa press yake kupitia mitandao ya kijamii, aliulizwa swali, ikiwa hawatasikiliza kabisa na kufuata ushauri wake ni nini kitafuata au atafanyeje, ndg. Polepole alisema tena mara tatu kwa kurudia kwamba wasiposikiliza 'watafanya maamuzi magumu zaidi ambayo yanaweza hata kulipasua taifa katikati, kuliko hata hali ilivyo sasa', huku akitadhaharisha kwamba wasilazimishe mambo kufikia huko.
Kingine akasema, yeye amejipanga kweli kweli na atahakikisha safari hii wanamtandao hao hawafanikiwi kabisa.
Sasa, najiuliza Polepole peke yake ataweza kweli kuwakabili wanamtandao na kuwasambaratisha?, kama alivyoahidi jana, endapo hawatamsikiliza, wao( yeye na wengine ambao hakuwataja) watafanya maamuzi magumu ambayo taifa halitarajii kabisa, lakini je hao ambao atafanya nao maamuzi hayo ni hakina nani?
Ndiyo wewe na Rostam mujue Yule alipenyezwa na watu kufikia pale.Hawezi. Yeye mwenyewe ni mwanamtandao. Rostam is right: the fellow came from nowhere to such high profile positions. Very risky, now we are paying the price. Ila Kuna kosa la jinai huitwa blackmail this guy is a blackmailer sawa kabisa na Dr No.
Polepole ukimsikikiza kipindi watiania wakichukua fomu za urais 2015 na leo anachokiongea ni kilekileLeo nao wamekua wapinzani enzi zao waliona wapinzani hawana akili hya maisha