Je, ndimu za unga zile za dukani ni kemikali gani?

Je, ndimu za unga zile za dukani ni kemikali gani?

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Naomba kujuzwa na wajuzi👂

Yaani mfano ningeuliza ugali ni kemikali gani unasema ni kabohaidrati (CxHxOx)

Sasa je, hii ndimu huwa ni nini. Ile ya unga ya dukani?
 
Zamani tetesi zilisambaa kibao ya kwamba wanaume tukitumia zinamaliza nguvu za kiume .

Sijui ni kweli au ilikuwa story tu
 
Mfano unapokula muwa na kuona utamu wa sukari ,then hiyo sukari iliyopo kwenye miwa ikiwa crystalized ndio unapata sukari ya chenga chenga,vile vile hiyo citric acid inaweza kuwa kwenye matunda,once ikiwa crystalized ndio ndimu ya unga
 
Back
Top Bottom