Je, ndimu za unga zile za dukani ni kemikali gani?

Mfano unapokula muwa na kuona utamu wa sukari ,then hiyo sukari iliyopo kwenye miwa ikiwa crystalized ndio unapata sukari ya chenga chenga,vile vile hiyo citric acid inaweza kuwa kwenye matunda,once ikiwa crystalized ndio ndimu ya unga
Kwaiyo unatushauri nini mtaalamu
 
Kama unakula vyakula vya mama ntilie,mabanda ya chips basi unaila kila siku......vyakula vya kwenye sherehe pia.,.. kwa kweli kuikwepa ni ngumu
😂😂😂😂Hatutoboi aseee wanawake tuwatafute tuishi tu
 
Mfano unapokula muwa na kuona utamu wa sukari ,then hiyo sukari iliyopo kwenye miwa ikiwa crystalized ndio unapata sukari ya chenga chenga,vile vile hiyo citric acid inaweza kuwa kwenye matunda,once ikiwa crystalized ndio ndimu ya unga
Kaka vip lkn haina madhara kwetu kama watu wanavyosambaza
 
Back
Top Bottom