Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Kwaiyo unatushauri nini mtaalamuMfano unapokula muwa na kuona utamu wa sukari ,then hiyo sukari iliyopo kwenye miwa ikiwa crystalized ndio unapata sukari ya chenga chenga,vile vile hiyo citric acid inaweza kuwa kwenye matunda,once ikiwa crystalized ndio ndimu ya unga
Ni kwa nini yaani, au uko na sababu gani ya kuikataaIle staweza kula ata ufanyeje
Unajamba krahisi hivo au unataka tukufikirie vibaya?Nimelia sana mkuu mpaka nimejamba
Labda kama kila siku unakula nyumbani kwako. Vinginevyo umeshakula sana bila kujua. Huko migahawani na mahotelini wanaitumia sana na ile kitu sijui "ajinamoto".Ile staweza kula ata ufanyeje
Ila kwer neno iloLabda kama kila siku unakula nyumbani kwako. Vinginevyo umeshakula sana bila kujua. Huko migahawani na mahotelini wanaitumia sana na ile kitu sijui "ajinamoto".
Kama unakula vyakula vya mama ntilie,mabanda ya chips basi unaila kila siku......vyakula vya kwenye sherehe pia.,.. kwa kweli kuikwepa ni ngumuIle staweza kula ata ufanyeje
😂😂😂😂Hatutoboi aseee wanawake tuwatafute tuishi tuKama unakula vyakula vya mama ntilie,mabanda ya chips basi unaila kila siku......vyakula vya kwenye sherehe pia.,.. kwa kweli kuikwepa ni ngumu
Kaka vip lkn haina madhara kwetu kama watu wanavyosambazaMfano unapokula muwa na kuona utamu wa sukari ,then hiyo sukari iliyopo kwenye miwa ikiwa crystalized ndio unapata sukari ya chenga chenga,vile vile hiyo citric acid inaweza kuwa kwenye matunda,once ikiwa crystalized ndio ndimu ya unga
Fafanua kidogo mkuu na tujue na madhara yake pia au faidaNi citric acid mkuu, ni kama inayopatikana kwemye limao
Ni kweli lkn au ndo kutishanaZamani tetesi zilisambaa kibao ya kwamba wanaume tukitumia zinamaliza nguvu za kiume .
Sijui ni kweli au ilikuwa story tu