NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hapo nyuma kiungo fundi wa mpira Maestro Chama aliwahi kuandika kupitia akaunti ya twita kuwa
"laiti Kama ningepata nafasi ya kushauri kamati ya usajili ningewashauri wamrudishe miqson au bwalya"
Kila mtu anaujua Moto wa konde boy winga machachali aliyekwenda kukaa benchi na kupigwa baridi pale Al ahly lakini Chama kapendekeza arudi acheze nae.
NALIA NGWENA kupitia vyanzo vyangu vya ndani kabisa Kuna uwezekano mkubwa sana maestro Chama akatangazwa upande wa pili na ndiye namba sita inayoimbwa sana na msemaji wa klabu ya Yanga sc Ally kamwe.
"Namba sita (6) atakayetangazwa italeta msiba pale msimbazi na kilio kikubwa"
Hayo ni maneno ya Ally kamwe akijinasibu kuhusu namba sita itakayosajiliwa.
Kwa jicho langu la tatu Chama ndiyo mchezaji pendwa sana pale msimbazi hakuna mwingine huyo ndiye mchezaji wa mashabiki pendwa Tena anapendwa mno.
Kama tetesi za Chama kwenda Yanga zitakua za kweli Basi tutegemee kilio kikubwa sana kwa mashabiki na mvunjiko wa ndoto ya chama kucheza na miqson Kama inavyosemekena.
Tuendeleee kula mtoli nyama tutazikuta chini.