Je ndoto za kiungo maestro Chama kucheza na Miqson hazitotimia Kama alivyokua akiota??

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hapo nyuma kiungo fundi wa mpira Maestro Chama aliwahi kuandika kupitia akaunti ya twita kuwa

"laiti Kama ningepata nafasi ya kushauri kamati ya usajili ningewashauri wamrudishe miqson au bwalya"

Kila mtu anaujua Moto wa konde boy winga machachali aliyekwenda kukaa benchi na kupigwa baridi pale Al ahly lakini Chama kapendekeza arudi acheze nae.

NALIA NGWENA kupitia vyanzo vyangu vya ndani kabisa Kuna uwezekano mkubwa sana maestro Chama akatangazwa upande wa pili na ndiye namba sita inayoimbwa sana na msemaji wa klabu ya Yanga sc Ally kamwe.

"Namba sita (6) atakayetangazwa italeta msiba pale msimbazi na kilio kikubwa"

Hayo ni maneno ya Ally kamwe akijinasibu kuhusu namba sita itakayosajiliwa.

Kwa jicho langu la tatu Chama ndiyo mchezaji pendwa sana pale msimbazi hakuna mwingine huyo ndiye mchezaji wa mashabiki pendwa Tena anapendwa mno.

Kama tetesi za Chama kwenda Yanga zitakua za kweli Basi tutegemee kilio kikubwa sana kwa mashabiki na mvunjiko wa ndoto ya chama kucheza na miqson Kama inavyosemekena.

Tuendeleee kula mtoli nyama tutazikuta chini.
IMG-20230417-WA0000.jpg
 
Makolo walikuwa bize na Mayele, sasa Yanga wameshavuta mpunga shughuri imebaki kwao, Chama anachukuliwa bure free agency.

Na wasimng'ang'anie chama kama walivyokuwa wanashabikia ya Feisal hadi kumchangia pesa za wajinga ambazo Feisal amezitafuna, cha mlevi huliwa na mgema.
 
Hapo nyuma kiungo fundi wa mpira Maestro Chama aliwahi kuandika kupitia akaunti ya twita kuwa

"laiti Kama ningepata nafasi ya kushauri kamati ya usajili ningewashauri wamrudishe miqson au bwalya"

Kila mtu anaujua Moto wa konde boy winga machachali aliyekwenda kukaa benchi na kupigwa baridi pale Al ahly lakini Chama kapendekeza arudi acheze nae.

NALIA NGWENA kupitia vyanzo vyangu vya ndani kabisa Kuna uwezekano mkubwa sana maestro Chama akatangazwa upande wa pili na ndiye namba sita inayoimbwa sana na msemaji wa klabu ya Yanga sc Ally kamwe.

"Namba sita (6) atakayetangazwa italeta msiba pale msimbazi na kilio kikubwa"

Hayo ni maneno ya Ally kamwe akijinasibu kuhusu namba sita itakayosajiliwa.

Kwa jicho langu la tatu Chama ndiyo mchezaji pendwa sana pale msimbazi hakuna mwingine huyo ndiye mchezaji wa mashabiki pendwa Tena anapendwa mno.

Kama tetesi za Chama kwenda Yanga zitakua za kweli Basi tutegemee kilio kikubwa sana kwa mashabiki na mvunjiko wa ndoto ya chama kucheza na miqson Kama inavyosemekena.

Tuendeleee kula mtoli nyama tutazikuta chini.View attachment 2690716
Uyo chama amalizane na waajiri wake uko yanga haina mpango wa kusajiri mchezaji mwenye mwendo wa konokono kama uyo wakati falsafa ya kocha gamondi ni kasi mwanzo mwisho, uyo chama anapambania maslai yake inavyoonekana kuna loophole kwenye vipengele vya mkataba wake ndio maana kawakazia na wao awana cha kumfanya!
 
Ongea taratibu mkuu
 
Aibu naona mimi...
Kila msimu mnamsajili ila ancheza Simba
🤣
🤣🐸🐸🐸🐸🐸
 
Back
Top Bottom