Inaeleweka wazi kwamba Tume ya uchaguzi imepewa fedha za kutosheleza uchaguzi kwa majimbo yote na kata zote Tanzania bara na visiwani.
Ni vema walipa kodi wakajulishwa kiasi cha fedha kilichookolewa baada ya baadhi ya wagombea kukosa sifa na hivyo majimbo yao kutoingia katika Uchaguzi.
Kiasi gani cha fedha au ni uvunjifu wa katiba na ujenzi wa chuki kwenye taifa ? Acha upuuzi wa kiasi gani kimeokolewa, si tulisaini demokrasia wenyewe ? Ina maana leo ndiyo tumejua tunatumia gharama kubwa ? Stupid