Je ngazi ya certificate chuoni kuna muda ina expire.?

Joined
Sep 25, 2023
Posts
22
Reaction score
38
Habar wakuu! Naomba kuuliza je latesay ulimaliza certificate miaka mi5 au 6 iliyopita nasasa unataka kuendelea na diploma je inawezekana kuendelea kupitia hiyo certificate yako au nilazima uanze upya ngazi ya cheti??
Kuna mtu ameniambia chet chako kikizidi miaka mitatu huwez kuendelea nacho kwangazi ya diploma mana kinakuwa tayari kimeexpire.?
Je hii kitu inaukweli wowote.?
 
Hapana. As long as umesomea hata kama ni miaka 30 bado ni valid.

Elimu ndio hazina pekee isyooza, ukipata nafasi ya kumpa mwanao mpe kwa gharama yoyote. Achana na story za kusema hakuna ajira
 
Habar wakuu! Naomba kuuliza je latesay ulimaliza certificate miaka mi5 au 6 iliyopita nasasa unataka kuendelea na diploma je inawezekana kuendelea kupitia hiyo certificate yako au nilazima uanze upya ngazi ya cheti??
Kuna mtu ameniambia chet chako kikizidi miaka mitatu huwez kuendelea nacho kwangazi ya diploma mana kinakuwa tayari kimeexpire.?
Je hii kitu inaukweli wowote.?
Muulize huyo aliekwambia kwamba kina expire. Na degree na master vina expire baada ya muda gani?
 
Back
Top Bottom