MWISHO WA SHAMBA
Member
- Sep 25, 2023
- 22
- 38
Muulize huyo aliekwambia kwamba kina expire. Na degree na master vina expire baada ya muda gani?Habar wakuu! Naomba kuuliza je latesay ulimaliza certificate miaka mi5 au 6 iliyopita nasasa unataka kuendelea na diploma je inawezekana kuendelea kupitia hiyo certificate yako au nilazima uanze upya ngazi ya cheti??
Kuna mtu ameniambia chet chako kikizidi miaka mitatu huwez kuendelea nacho kwangazi ya diploma mana kinakuwa tayari kimeexpire.?
Je hii kitu inaukweli wowote.?
Nashukuru sana mkuu,leo nilipata wenge nikaingia mtandaoni nikachukua namba za baadhi yavyuo ili niwaulize hili swali langu lkn katika vyuo vitatu, viwili hawajapokea simu,kimoja namba haipatikan,ndo nikapata wazo lakuuliza humuUsikatishwe tamaa mkuu hakuna kitu kama hicho
Asante sana mkuuHapana. As long as umesomea hata kama ni miaka 30 bado ni valid.
Elimu ndio hazina pekee isyooza, ukipata nafasi ya kumpa mwanao mpe kwa gharama yoyote. Achana na story za kusema hakuna ajira