jastertz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 407
- 768
Sijui kwanini, ila katika pita pita zako unakutana na mtu ukamwelewa but ukawa huwa mawazo ya kukutana nae kimwili hivi karibuni. ila baada ya muda unaanza kuonekana hauna mapenzi ya kweli au kuna sehemu unapata utelezi na vitu kama hivo.
Unless otherwise, me navyojua huwezi ukawa unakutana na mtu na ulale nae tu within short of time, lazima mpeane muda coz wengine huwa na mabalaaa yao au mikosi yao au hata baraka jambo ambalo wengi hawalijui hilo.
kwanini mtu atumie kigezo cha kufanya ngono kama silaha ya mapenzi au kumwaminisha Unampenda.