Je, ni Akili za Kitaaluma pekee ndizo zinazokufanya uwe mwana Usalama wa Taifa mahiri, au ni zile Akili za Kuzaliwa nazo ( Nature ) tu?

Kibongo bongo wanachomekana tu, hakuna cha akiri ya kuzaliwa wala makamasi gani sijui huko!

Hapa kwetu kada mzoefu wa ccm na mwenye connection na wazee anaweza kukusanya kamlete wake hata watano na kuwaingiza tiss.
Afisa mwandamizi wa tiss anaweza kum pull in mtoto yeyote awe wa shangazi yake au mjomba haijalishi ana akiri au hana kasoma au hajasoma na akawa mwana usalama.
Kipindi cha Kikwete, recruitment ya tiss ilikuwa too shallow kamlete walizidi sana hadi kina bashite wakolomije na ole sa mbaya mchunga moo eti nao wakawa eagles!?
 
….. hawdumu “wanauawa baada ya mission”?
 
Una mengi ya kuhsare nasi hapa jukwaani maana miaka hiyo walikua wanawekwa watu makini na hata utaratibu haukua na makandi kando kama Sasa,, cku hizi wanaokotaokota tuu vyuoni,, wako wengi Sana wa hovyo eti kigezo unaulizwa huyu kijana hana itikadi za chadema au wazazi wake wako chama gani cha siasa yaani ni ujinga mtupu.
 
Una utani wewe! Labda vi mission vya kitoto vya kukaa baa kuangalia nani anamtukana rais,ila kwenye mission nzito nzito kuna hitaji watu wenye akili zao na hapo ndio watu wa science na mainjinia wanapoingia!
 
Zamani miaka ya 1990's kurudi nyuma hiki kitengo kiliuwa sensitive sana Tz, tulianza kuchagua vijana wakiwa primary school then tunawafuatilia mienendo yao mpaka vyuoni.

Baada ya hapo tulichukua tuliojiridhisha kuwa wapo vizuri kiakili, kuanzia akili ya kuzaliwa mpaka darasani. Nakipindi hicho tulikuwa na vijana imara sana, siyo siku hiz imekuwa ajira kama ajira zingine sanaa sanaa tu.

Kidogo tu mnakunywa baa mnatofautiana tayari utasikia unanijua mim nani., zaman ujinga huo huwez kuuona na walikuwa wapole sana na hata familia zao hazikujuwa kazi wanazofanya, yaani kujuwa huyu ni nyoka ilikuwa kazi kweli kweli.
 
Una utani wewe! Labda vi mission vya kitoto vya kukaa baa kuangalia nani anamtukana rais,ila kwenye mission nzito nzito kuna hitaji watu wenye akili zao na hapo ndio watu wa science na mainjinia wanapoingia!
Sawa nawe jaribu kufanya tafiti zako
 
Mwana usalama mzuri ni yule aliyefuatwa na authority toka akiwa shuleni! Na siyo hawa wa kuletwa na kamlete!!
 
….. hawdumu “wanauawa baada ya mission”?
Agent sio mwajiriwa rasmi wa idara, anatumka tu kwa kipindi Fulani chini ya maelekezo ya shushushu toka idarani...thus why kasema" hawadumu"
 
Nchi Kama Israel Wana recruit watu kutokana na uwezo wao. Kwa Mfano Kuingia "MOSADI' Kati ya watu Mia Moja basi wanachagua mtu mmoja kwenda kupata mafunzo kwenye medani za Usalama Tu


Kisa Mafunzo:Siku hapo Israel kuna Magaidi walivamia club na kua watu

Basi MOSADI walituma Kachero moja kuingia Lebanon ndani ya siku tatu alirudi na Magaidi yote .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…