GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Nimecheka mpaka basi....!!haya mambo kwa nchi kama yetu Tanzania ( hayana standard ) .. Tofuati na wenzetu.. nyoka anaza nyoka.. ila huku simba utakuta anzaa kuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka mpaka basi....!!haya mambo kwa nchi kama yetu Tanzania ( hayana standard ) .. Tofuati na wenzetu.. nyoka anaza nyoka.. ila huku simba utakuta anzaa kuku
Akili siyo suala la imaniNa Wewe unaamini kabisa kuwa una Akili?
….. hawdumu “wanauawa baada ya mission”?Akili ni muhimu ndo maana maafisa usalama wa miaka 1995 kurudi nyuma tulichujwa sana
Kwa Sasa kazi Hiyo nshaacha Ila wanaangalia vitu vingi sana
Kuna Afisa usalama unaweza tumwa Kitengo fulan kulingana na wewe ulivyo au ukawa recruited juu kwa juu kwenye nafasi uliyopo labda Banker au mwalimu au dereva ili uchunguze jambo fulan kwa muda fulan Ila hao uwa hawadumu
Ila wengi walitolewa mashuleni vichwa kabisa
Na wengine utulivu silence Yao ya ku contain jambo bila ku leak hapa kuna upimaji wao unavyofanyika
Una mengi ya kuhsare nasi hapa jukwaani maana miaka hiyo walikua wanawekwa watu makini na hata utaratibu haukua na makandi kando kama Sasa,, cku hizi wanaokotaokota tuu vyuoni,, wako wengi Sana wa hovyo eti kigezo unaulizwa huyu kijana hana itikadi za chadema au wazazi wake wako chama gani cha siasa yaani ni ujinga mtupu.Akili ni muhimu ndo maana maafisa usalama wa miaka 1995 kurudi nyuma tulichujwa sana
Kwa Sasa kazi Hiyo nshaacha Ila wanaangalia vitu vingi sana
Kuna Afisa usalama unaweza tumwa Kitengo fulan kulingana na wewe ulivyo au ukawa recruited juu kwa juu kwenye nafasi uliyopo labda Banker au mwalimu au dereva ili uchunguze jambo fulan kwa muda fulan Ila hao uwa hawadumu
Ila wengi walitolewa mashuleni vichwa kabisa
Na wengine utulivu silence Yao ya ku contain jambo bila ku leak hapa kuna upimaji wao unavyofanyika
Una utani wewe! Labda vi mission vya kitoto vya kukaa baa kuangalia nani anamtukana rais,ila kwenye mission nzito nzito kuna hitaji watu wenye akili zao na hapo ndio watu wa science na mainjinia wanapoingia!Field ya social sciences inaongoza kwa kutoa best spy products duniani ukilinganisha na field ya pure science. Jasusi aliyesoma course za social science mfano public relation ukijaribu kufanya comparison na aliyesoma science ile pure mfano injinia n.k , kwenye scoreboard atakaye kimbiza ni huyu wa social science.
Trainings nzuri hutoa products nzuri.Una utani wewe! Labda vi mission vya kitoto vya kukaa baa kuangalia nani anamtukana rais,ila kwenye mission nzito nzito kuna hitaji watu wenye akili zao na hapo ndio watu wa science na mainjinia wanapoingia!
Zamani miaka ya 1990's kurudi nyuma hiki kitengo kiliuwa sensitive sana Tz, tulianza kuchagua vijana wakiwa primary school then tunawafuatilia mienendo yao mpaka vyuoni.Nimedokezwa kuwa huko CIA na MOSSAD wao Kipaumbele chao kwa wanao wa recruit ni Akili za Kuzaliwa nazo pekee na hizo za Kitaaluma (za Darasani) nenda Katambe nazo kwa Washamba Wenzako huko Kijijini Kwenu.
Na nimedokezwa pia nchi zingine nyingi (hasa Barani Afrika) ila Tanzania haipo Wao ili uwe ni mwana Usalama wa Taifa wanaangalia Taaluma yako kama umeshawahi kupata Sup Chuoni au kama ulipokuwa Darasani ulikuwa unakaa mbele na muulizaji Maswali mzuri na Daftari zako ni Safi na Notes zako zinavutia na uwe na Uwezo mkubwa wa Kukariri Notes za Mwalimu wako (hata kama huzielewi) na Kuzijibia Mitihani ili upate Alama A na B.
Je, ukweli hasa ni upi? Najua hapa JamiiForums mpo /wapo Wabobezi wa Fani husika (tajwa) hivyo watanisaidia Kunifafanulia / Kutufafanulia akina siye tusiojua lolote lile kuhusu mambo / masuala ya Usalama wa Taifa ( Intelligence ) hapa duniani.
Sawa nawe jaribu kufanya tafiti zakoUna utani wewe! Labda vi mission vya kitoto vya kukaa baa kuangalia nani anamtukana rais,ila kwenye mission nzito nzito kuna hitaji watu wenye akili zao na hapo ndio watu wa science na mainjinia wanapoingia!
Serikali ya wamu ya 4 ilikua ni connection tu.Msiwape sifa ambazo hawana
Vilaza kibao tu wameingia kisa connection au ukada.
Hivyo vigezo kwa bongo Wala havitumiki
Na ndiyo iliyoiharibu TISS hadi hii Leo.Serikali ya wamu ya 4 ilikua ni connection tu.
Daah, nimecheka Sana.Kigezo muhimu uwe na uwezo wa kuua bila kijisikia mhalifu!
... hii inafanya elimu ya shule iwe sio muhimu kwa operators wa ngazi za chini, ... ngazi ya juu kidogo elimu ya darasani Ina umuhimu wake!
Mwana usalama mzuri ni yule aliyefuatwa na authority toka akiwa shuleni! Na siyo hawa wa kuletwa na kamlete!!Kibongo bongo wanachomekana tu, hakuna cha akiri ya kuzaliwa wala makamasi gani sijui huko!
Hapa kwetu kada mzoefu wa ccm na mwenye connection na wazee anaweza kukusanya kamlete wake hata watano na kuwaingiza tiss.
Afisa mwandamizi wa tiss anaweza kum pull in mtoto yeyote awe wa shangazi yake au mjomba haijalishi ana akiri au hana kasoma au hajasoma na akawa mwana usalama.
Kipindi cha Kikwete, recruitment ya tiss ilikuwa too shallow kamlete walizidi sana hadi kina bashite wakolomije na ole sa mbaya mchunga moo eti nao wakawa eagles!?
Agent sio mwajiriwa rasmi wa idara, anatumka tu kwa kipindi Fulani chini ya maelekezo ya shushushu toka idarani...thus why kasema" hawadumu"….. hawdumu “wanauawa baada ya mission”?