Je, ni Akili za Kitaaluma pekee ndizo zinazokufanya uwe mwana Usalama wa Taifa mahiri, au ni zile Akili za Kuzaliwa nazo ( Nature ) tu?

kwani wewe ndiyo wa kule X anaetafutwa na JWTZ au yule ndiyo amekukopi wewe??
 
Tupe ushahidi wa hili ulilo andika
 
mengine ni ziada tu. but priority number one, uvccm.

number two, ni kiwango chako cha uchawa na unyenyekevu kwa chama na viongozi ndani ya mfumo. then boom, ajira ndani ya usalama wa taifa hii hapa.
 
Tanzania ni vimemo tu, unajuana na nani
 

…”maafisa usalama wa miaka 1995 kurudi nyuma tulichujwa sana”

Unataka kusema wa 2010 kurudi nyuma vilaza?
Poty, hebu tulia!!!
 
…”maafisa usalama wa miaka 1995 kurudi nyuma tulichujwa sana”

Unataka kusema wa 2010 kurudi nyuma vilaza?
Poty, hebu tulia!!!
Huyu ndiyo yule police ambae video yake inatembea sana kwenye mitandao ya kijamii, anaulizwa vyeo vya kipolice na mkaguzi wake kumbe hajui kitu na ana miaka 7 jeshini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…