Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe ushahidi wa hili ulilo andikaNchi Kama Israel Wana recruit watu kutokana na uwezo wao. Kwa Mfano Kuingia "MOSADI' Kati ya watu Mia Moja basi wanachagua mtu mmoja kwenda kupata mafunzo kwenye medani za Usalama Tu
Kisa Mafunzo:Siku hapo Israel kuna Magaidi walivamia club na kua watu
Basi MOSADI walituma Kachero moja kuingia Lebanon ndani ya siku tatu alirudi na Magaidi yote .....
mengine ni ziada tu. but priority number one, uvccm.Nimedokezwa kuwa huko CIA na MOSSAD wao Kipaumbele chao kwa wanao wa recruit ni Akili za Kuzaliwa nazo pekee na hizo za Kitaaluma (za Darasani) nenda Katambe nazo kwa Washamba Wenzako huko Kijijini Kwenu.
Na nimedokezwa pia nchi zingine nyingi (hasa Barani Afrika) ila Tanzania haipo Wao ili uwe ni mwana Usalama wa Taifa wanaangalia Taaluma yako kama umeshawahi kupata Sup Chuoni au kama ulipokuwa Darasani ulikuwa unakaa mbele na muulizaji Maswali mzuri na Daftari zako ni Safi na Notes zako zinavutia na uwe na Uwezo mkubwa wa Kukariri Notes za Mwalimu wako (hata kama huzielewi) na Kuzijibia Mitihani ili upate Alama A na B.
Je, ukweli hasa ni upi? Najua hapa JamiiForums mpo /wapo Wabobezi wa Fani husika (tajwa) hivyo watanisaidia Kunifafanulia / Kutufafanulia akina siye tusiojua lolote lile kuhusu mambo / masuala ya Usalama wa Taifa ( Intelligence ) hapa duniani.
#kwani wewe ndiyo wa kule X anaetafutwa na JWTZ au yule ndiyo amekukopi wewe??
Tanzania ni vimemo tu, unajuana na naniNimedokezwa kuwa huko CIA na MOSSAD wao Kipaumbele chao kwa wanao wa recruit ni Akili za Kuzaliwa nazo pekee na hizo za Kitaaluma (za Darasani) nenda Katambe nazo kwa Washamba Wenzako huko Kijijini Kwenu.
Na nimedokezwa pia nchi zingine nyingi (hasa Barani Afrika) ila Tanzania haipo Wao ili uwe ni mwana Usalama wa Taifa wanaangalia Taaluma yako kama umeshawahi kupata Sup Chuoni au kama ulipokuwa Darasani ulikuwa unakaa mbele na muulizaji Maswali mzuri na Daftari zako ni Safi na Notes zako zinavutia na uwe na Uwezo mkubwa wa Kukariri Notes za Mwalimu wako (hata kama huzielewi) na Kuzijibia Mitihani ili upate Alama A na B.
Je, ukweli hasa ni upi? Najua hapa JamiiForums mpo /wapo Wabobezi wa Fani husika (tajwa) hivyo watanisaidia Kunifafanulia / Kutufafanulia akina siye tusiojua lolote lile kuhusu mambo / masuala ya Usalama wa Taifa ( Intelligence ) hapa duniani.
Chubby lunaticPia kuwa mwanausalama bora inategemeana na mission uliyopewa
Can you imagine una akili za kuzaliwa na za taaluma alafu wewe ni mwanausalama Rais ni Huyu mama si lazima uonekane ni bogaz like HER
Akili ni muhimu ndo maana maafisa usalama wa miaka 1995 kurudi nyuma tulichujwa sana
Kwa Sasa kazi Hiyo nshaacha Ila wanaangalia vitu vingi sana
Kuna Afisa usalama unaweza tumwa Kitengo fulan kulingana na wewe ulivyo au ukawa recruited juu kwa juu kwenye nafasi uliyopo labda Banker au mwalimu au dereva ili uchunguze jambo fulan kwa muda fulan Ila hao uwa hawadumu
Ila wengi walitolewa mashuleni vichwa kabisa
Na wengine utulivu silence Yao ya ku contain jambo bila ku leak hapa kuna upimaji wao unavyofanyika
Huyu ndiyo yule police ambae video yake inatembea sana kwenye mitandao ya kijamii, anaulizwa vyeo vya kipolice na mkaguzi wake kumbe hajui kitu na ana miaka 7 jeshini!!…”maafisa usalama wa miaka 1995 kurudi nyuma tulichujwa sana”
Unataka kusema wa 2010 kurudi nyuma vilaza?
Poty, hebu tulia!!!