Johnson arthur
New Member
- Apr 19, 2021
- 1
- 0
Safi mkuuu huu ni ushauri mzuri kwake ,No body will beat you when u have skills.Mikono isio na ujuzi humfanya binadamu kutapatapa.Mimi nakushauri achana na kusoma IT kama ada ni mgogoro jifunze skills unazoweza ingiza pesa haraka uku unapambania mambo mengine.
Soma Graphic design, copywriting, videography & photography unaweza soma mwenyewe hata online. Ukiwa na hizi skills ni wewe tu sasa uamue ulale njaa au uingize pesa.
Hivi mafunzo yanachukua mudaganiWahi veta ukachukue fomu ya kujiunga na mafunzo unayohitaji, serikali imetoa udhamini kwa vijana kusoma mafunzo ya ufundi stadi kwa hiyo utajifunza bure kabisa wakati kukiangalia namna ya kujiendeleza hapo baadae.
Miezi mitatu au zaidi nadhani kulingana na mafunzo yenyewe.Hivi mafunzo yanachukua mudagani